umeona eeh...kama sheria iliwahi kutambua kuwa miaka 15 anaweza kuhimili mikiki ya ndoa sasa cha ajabu kiko wapi wa 16 kunihudumia na mie wa 26? Hapa mi nachokiona si umri ila nimpe muda amalize masomo yake....wasichana wangapi wanazaa wakiwa chini ya miaka 16 tena wengine hadi 13 utakuta wanawatoto.
Kwa maisha ya sasa, binafsi sijaona shida kuwa na uhusiano na msichana wa umri huo labda kwa kuogopa KUNYEA DEBE SAWA, suala lingine muhimu ni elimu, najua familia bora nile inayoongozwa na wazazi wasomi. Hivyo nakubaliana na suala la kumuacha asome na si vinginevyo. Nasema haya kwa kuwa hakuna aliyenishawishi kwa HOJA ZA MSINGI (tukiacha maneno ya kinafiki) kuwa huyo binti hawezi kuwa na mwanaume kama mimi....Je yupo mtu wa kukanusha hayo kwa hoja?