Msaada: Nataka kuanza uhusiano na kasichana nimekazidi miaka 10...


kumbe wewe mwenzetu!

hapo tupo ukurasa mmoja na nadhani ndiko kulea anakosema fiksiman...kuna ubaya apo?
 

...shukran sana, sasa nimekuelewa hoja yako. 😀
fiksiman rudi ujitetee bana, ...'fingerprints' ulizoacha kwa
dada poa zitaendelea kuwa kigezo cha kuhukumiwa kila usemalo hapa...
Huaminiki tena!
 

Correction: Sijamrubuni mtoto wa mtu na kwa kampeni mnazozifanya kipindi hiki sidhani kama kuna msichana anaweza kurubuniwa kirahisi (Fataki, Sidanganyiki na zinginezo kibao). She simply felt attract to me as human being with feeling...inawezekana hukupata bahati hiyo ulipokuwa na umri kama wake.

Secondly: Sijakupinga kuhusu suala la dada poa...nimewala sana tena sio bongo tu hata ulaya na sehemu zingine za Afrika nilizotembelea nilihakikisha napata ladha yao...kwa maana hii ni kwamba huyo mtoto hana kimpya cha kunifanya nimdanganye zaidi ya kumpenda kwa dhati.

Tatu: najiamini katika uwezo wangu wa kushawishi hata wewe ukiingia katika anga yangu hutoki hata uwe na elimu ya PHD, kwa maana hii sijashindwa kuwapata wa saizi yangu na wapo kibao wanaojipendekeza tena wazuri na wenye majina makubwa....but an not interested in age or body structure, it is the HEART that make decision whom to respect and whom to mess up with.

Now this gal is unique, she touch ma heart and I wonder if am doing the right thing by going out with her...that is why I decided to seek further consultation, the bottom line is, I care for her and whether you are a mother or PRETENDER that is how life is. WAKE UP LADY, it is morning!
 
kweli ukombozi wa mwanamke kupatikanika ipo kazi nilitegemea utamtetea binti wa watu kumbe na wewe unasabikia
 
kweli ukombozi wa mwanamke kupatikanika ipo kazi nilitegemea utamtetea binti wa watu kumbe na wewe unasabikia

Mie sio kwamba nashabikia, nilikuwa naishangaa sheria ya tanzania inavyoruhusu mtoto wa miaka 15 kuolewa. Hukunielewa ndugu.
 


For your info Fiksiman mimi ni bomba la mama, siwezi kusubiri sifa yako naomba tu nikueleze kuwa mimi ni mzuri FULL so sio kuwa sikupata bahati hiyo nikiwa that age. Kwa taarifa yako nikiwa darasa la nne kuna watu waliwahi kugombana mpaka wakawa hawasemeshani kisa wanapigania nani aje kunitongoza. Ni mwalimu ndio aliwagundua na namshukuru yule mama kwani aliniambia ukweli kuwa wewe ni mzuri sana ila subiri hawa hawawezi kuwa waume zako soma mume atakuja na pia namshukuru mama yangu kwa kuwa bold enough kunieleza kila kitu so sikubabaika na wasumbufu kama wewe.

Plus Fiksiman kubali tu kuwa hujui unachotaka pia. Soma reply zako zote huku utaona mwenyewe kuwa huna mwelekeo. Kuna wakati unamsifia huyu binti, kuna wakati unamponda kuna sehemu unasema kuwa umetafuta wa saiz yako hukupata sasa unasema wanajigonga kuna sehemu pia unasema wakubwa hawana mvuto sasa unasema wapo wazuri tu na wenye majina wanakufuata.

I don't think unajua unachosema THAT IS IT
 


well said....if i knew what I want bila shaka nisingesumbuka kuweka hii thread. kitu kingine naona umeenda mbali sana ungeweka picha yako hapa tungemaliza hiyo debate ya wewe ni BOMBA au kimeo. Hat hivyo nahisi ummenda kifurukombe mimi nilikuwa na maana kuwa inawezekana ulipokuwa miaka hiyo ulichelewa kupata hisia au kupenda ndo inakuwia vigumu kuamini wenzio wanapofikia hatua kama ya huyu mtoto. mmhh kumponda sina hakika na hilo ngoja nipitie hizo post zangu nione inawezekana mawasiliano kati yetu umeyapindisha kwa kuwa unapenda hivyo.

Tofautisha wanawake wa kula Gud time na kuwa nao serious. Hapa nazungumzia kuwa serious na huyu mtoto, kikwazo nilichokiona nahisi ni mdogo ndo maana nikaja kuomba ushauri kama naweza kuwa nae au nimpotezee. Nyie mnaojiita wazuri mie sina ishu nanyi kabisa nimeshawala sana kwanza wengi wenu ni mapepe full kubadilisha mabwana na siku zote ni wasichana wachache sana wanaojitambua kama wazuri huolewa na kutulia sana sana wajanja hugonga NAKALA na kusonga mbele.

Nimegundua kuwa wewe hukupitia maisha ya wenzio ndo maana leo unatoa comments kama vile ni rahisi. Yote maisha kuna wanaopata na wanaokosa; wewe ulipata bahati ya kuambiwa na waliokaribu yako lakini wengine wanasikia kwenye vyombo vya habari tena nusu nusu. Don't judge people through your experience mamaaa...live in their shoes to find out the pinch of their misery. Ndo ushauri wangu kwako.
 
kubadilisha mabwana na siku zote ni wasichana wachache sana wanaojitambua kama wazuri huolewa na kutulia sana sana wajanja hugonga NAKALA na kusonga mbele.

tehe tehe...mkuu Fiksiman hiki kiswahili kumbe kinakuwa namna hii! dah!
 

Fiskiman unachonikera ni kujidai unajua wakati hujui. For your info nimeolewa na nina a very happy marriage and family pamoja na uzuri wangu.

Sidhani kama kuna mwanaume asiyependa kuwa na mke mzuri. Na sikuchelewa kupata hisia ilikuwa ni suala la maamuzi tu.

Plus siwezi kukuwekea picha hapa mimi ni mke wa mtu na sidhani kama nina haja ya kuprove kwako kuwa mimi ni mzuri. Nilishajiweka wazi toka mwanzo kuwa sihitaji approval yako wala sifa yako najijua kuwa mimi ni mzuri. FULL STOP HILI HALINA UBISHI
 

Na mimi unachonikera ni kujifanya unawakilisha mawazo ya kila mwanamke wa Tanzania hku ukijua wazi kila mtu amekua na kulelewa kama mazingira tofauti na siku zote makuzi yetu ndo yanayotoa zao la haya yote. Haijalishi kama wewe ni mzuri au una ndoa yenye amani...this debate was never about you until you personalized it.

Nakuhakikishia uzuri wa mwanamke siku zote sio urembo bali ni tabia, najua utasema pia unatabia nzuri ndo maana umeolewa na unafuraha. Nakuomba tusiende huko maana sie wengine kiswahili chetu cha mtaani wakati mwingine kinaweza kumaanisha matusi kwa watoto wa mboga nane (am sure you one of them).

Kila mwanamke ni mzuri inategemea mwanaume amedefine huo uzuri kwenye eneo gani (kwa mfano: wapo huangalia maumbile ya mwanamke na kuja na jumuisho la uzuri wake - makalio, uso, weupe, sauti, slim body, bonge nyanya, machuchu mchongoko, na wengine huangalia uwezo wa mwanamke katika majambozi - viuno, ushirikiano, mnato *****, makelele wakati wa vitu, mapozi, hadi hapo utakuwa umenielewa). Utajijua wewe umeolewa kutoka kwenye kundi gani kati ya hao juu.

Sasa ntakwambia kwanini nimempenda huyo mtoto kulingana na sifa nilizokuorodhezeshea. Mwali wangu amejaaliwa weupe naturally, mwembamba wastani, anaongea kwa upole na mara zote hukutazama usoni ili awe na hakika kama unamsikiliza, nilisahau kuongeza moja (religious), mtulivu na hapendi kuongea kuongea ovyo mbele za watu, she is very obedient, anaonekana mwenye heshima na kikubwa anauelewa mkubwa wa mazingira aliyopo.

Mamaa sifa hizi za awali zimetosha sana kumuona huyu mtoto kuwa MALAIKA katika kundi la mashetani na hivyo anahaki ya kulindwa na kupendwa kwa dhati. So you am not as DESTROYER as you may consider me. Tuache malumbo unanishauri nini sasa weka pembeni JELA na SHULE coz vyote navithamini.
 
wewe mtu nipeleke taratibu...kikwenu linaweza likajitafcri dharau, huku nilipo linatumika kwa maana tofauti kabisa....upo?


Nipe maana yake maana ndio najifunza........Nikieleweshwa siku nyingine sitalopoka...Nyamayao!!
 


Wadau mbona mmemuandamana sana Fiksman......Ina maana watu wangapi wanawakamua watoto wa secondary na wana waambukiza magonjwa ya zinaa??Acheni hizo mpeni ushauri wa maana.....Mfano kama yupo nae awe makini au amsomeshe na amsubirie mpaka wakati wake ukifka...sio mnaleta mambo ya kizamani...Jamaa anataka kuwekeza kwanza kuna ubaya gani hapo?????Mshauri vizuri sio mnaongea pumba eti bado mtoto kwanza amesema anataka kulala nae??
 
Mbu ucfananishe vitoto vya ulaya na vitoto vyetu huku, huko huyu atakuwa vercity au kameshamaliza kabisa, huku bado kabisa ndio kwanza unakakuta kapo form 6.....ckubali.



Hivi Nyamayao umeenda shuleni na kuangalia mwanafunzi wa form 6 jinsi walivyo???Sio mtoto kama mnavyosema nyinyi hapa kwamba bado mtoto...Labda niambie mwanafunzi wa form 1...
 


Acha hizo MIMI-SOSO umeshasema bomba la mama alafu tena unasema mzuri.... wazuri huwa hawajisifu ndio kwanza nimekuona wewe ila hongera sana......
 
Kwanza naomba niseme kwamba sikubaliani na fiksiman, lakini pia siyo kosa la fiksiman kuleta hoja yake hapa, ila anatumia mapungufu ya sheria zetu. Kosa liko kwenye sheria zetu ambazo ni za ajabu ajabu na watu wanatumia hizo loopholes kukwepa mkono wa sheria.

Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971, inasema msichana anaweza kuolewa kwa ridhaa yake akiwa na zaidi ya miaka 18. Msichana aliyechini ya miaka 18, lakini mkubwa zaidi ya miaka 15, anaweza kuolewa kwa ridhaa ya wazazi wake. Sheria iko kimya iwapo msichana under age atalazimishwa na wazazi kuolewa na mwanaume aliyechaguliwa na wazazi wake.

Baada ya hiyo sheria ya ndoa kuna kipengele kingine kinachohusu mimba kwa wanafunzi. Ni kosa kumpa mimba mwanafunzi wa shule ya msingi ama sekondari (assumption hapa ni kwamba wako under age). Lakini wako mabinti ambao wanaenda A-Level wakiwa above 18, je, mtu akimpa mimba binti mwenye miaka 18+ na bado yuko sekondari, kuna kosa? Hapa panahitaji ufafanuzi, akitokea mwana sheria mzuri anaweza ku-win case na mtu hafungwi. Adhabu ya kosa la kumpa mimba mwanafunzi ni kifungo, hakuna faini. Sheria hiyo hiyo haiongelei wasichana ambao hawako shuleni wanaopewa mimba wakiwa under 18 lakini wako above 15, je, wao kupewa mimba ni haki?

Juzi juzi tumeambiwa kwamba serikali imeruhusu wanafunzi wanaopata mimba wakiwa bado wako shule za msingi au sekondari, wanaruhusiwa kuendelea na masomo. Je, tamko kama hilo lina madhara gani kwa wanafunzi? Siyo kwamba tunawachochea wachangamkie ngono huku wakiwa wako under age?

Kwa mtazamo wangu sheria ya ndoa haihitaji kuwa na provision ya ridhaa ya wazazi in case of under age kwa kuwa inawapa wazazi mwanya wa kuitumia vibaya, na wazazi wengi wameitumia kwa manufaa yao bila kuangalia feelings za muolewaji, whether anataka ama hataki. Tunahitaji kuwa na sheria ambayo inabana wote walio shuleni na walio nje ya shule, ili mradi wawe under age.

Kwa hiyo tunatakiwa kuweka cut-off age, kwamba msichana akiwa under 18, sheria ichukue mkondo wake bila kujali yuko nyumbani ama shuleni. Na msichana akiwa above 18, huyo amejitakia mwenyewe kwa kuwa akili yake angalau imeishakomaa na hivyo anaweza kufanya maamuzi ya kushika mimba au la, kuolewa au la, kuingia kwenye mahusiano au la.

Mwanaume yeyote atakayeonekana na msichana under age, adhabu kali apewe, na iwe ni kifungo, hakuna mambo ya faini kwa kuwa kuna watu wanaweza kuamua kufanya ubazazi kwa kuwa wana vijisenti.

Kwa hiyo kwa wale ambao tuna ona kwamba fiksiman anafanya makosa tuanze kupiga kelele za kutaka marekebisho ya sheria zetu zilinde haki ya under age wote bila kujali wako shuleni ama wako nyumbani.

Frankly speaking, dunia ya sasa imebadilika sana siyo ya zama za mababu zetu, sasa hivi maisha ni mchaka mchaka, akili ya muolewaji lazima iwe imekomaa na imetulia. Miaka 15 ni umri mdogo sana, sijui hata kama binti anakuwa anajua anachofanya. Akina dada wengi na utu uzima wao wa 30+ yrs old, ukiangalia michango yao hapa jukwaani inakuonyesha wazi frustrations walizonazo kwenye ndoa/mahusiano yao, je binti wa 15 yrs anaweza ku-handle hizo frustrations ama ndo tunamchimbia kaburi?
 
kuwa specific kwanza toa details zaidi za hoyo msichana in term of AGE, Is she schooling (primary, secondary or advanced)? then your in trouble. Otherwise mpelekee moto na umweke ndani kama mtakubaliana. Age difference is nothing but number!
 



sasa hapa unatuambia nini?..

na kama ndio umeshafikia uamuzi bora basi mjadala ufungwe, kuliko kuendelea kuponda anything out of maamuzi yako na kusema ni ushauri usiofaa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…