Mimi ni mtanzania, naishi tanzania, nimesoma tanzania, na nimetoka kwenye humble background, pengine kushinda unavyodhani wewe, nimesoma,nafanya kazi, nimeolewa na nina mtoto wa kike, so ninavyongea hivi najiweka kwenye position mwanangu akiwa age hiyo na kuna manyang'au wanataka kumrarua katika era hii ya ukimwi. ndo maana inauma sana. Kama unataka jema fata jema.
au... ngoja nikushauri unavyotaka wewe, maana jinsi unavyong'ang'ania, labda unampenda kwei, nenda kwa wazazi wake, kajitambulishe na ubaki kuwa rafiki tu utakaem-encourage na kumsaidia kwenye njia ya masomo,, (you are a graduate i suppose) uwe mwaminifu na roho yako na kwa Mungu wako, usimwingize kwenye ulimwengu wa mapenzi coz i can assure you akishautambua vizuri kwa msaada wako, wapo wenye pesa kukuzidi, wenye magari mazuri kukuzidi, na wenye mvuto kukuzidi, wanaojua kucare kukuzidi na hao watamchukua iwe kwa uwazi au kwa kificho, na mwisho wake utakuwa hujafanya kitu pamoja na kusema unataka kumkuza na kumprotect. Take it from a woman's point of view. utarudi hapa tena kuomba ushauri especially klama umeshainvest trust yako kwake na moyo wako kwake na hata mali yako kwake, akishakua atapata wanaomvutia zaidi kwa akili yake iliyo mature na utarudi hapa tena. thats why tunakwambia mpe nafasi, lakini at the end of the day ni choice yako kaka. all the best.