Jamani baada ya kukaa kitaa kwa muda bila kibarua mafanikio huku family (Mke na mtoto wakinitazama).
Nimeamua kuanza kuandika makala mbalimbali katika nyanja mbalimbali za maisha ya binaadamu hususani vijana, Hivyo basi ningeomba ushirikiano wenu wa hali na mali kama utaweza nichangia scripts, articles, logos mawazo hata ufadhili wa ku-host nimefikiria kuiita www.tumainilangu.com