Msaada: Nataka kuanzisha a WEBSITE Inayohusiana na Personal Develoment

Msaada: Nataka kuanzisha a WEBSITE Inayohusiana na Personal Develoment

Emma Lukosi

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2009
Posts
929
Reaction score
147
Jamani baada ya kukaa kitaa kwa muda bila kibarua mafanikio huku family (Mke na mtoto wakinitazama).
Nimeamua kuanza kuandika makala mbalimbali katika nyanja mbalimbali za maisha ya binaadamu hususani vijana, Hivyo basi ningeomba ushirikiano wenu wa hali na mali kama utaweza nichangia scripts, articles, logos mawazo hata ufadhili wa ku-host nimefikiria kuiita www.tumainilangu.com

Lengo ni kuelimisha, kufundisha, kuburudisha na kuwatoa watu mahali pamoja walipokwama kwenda sehemu nyingine hasa kwa walio kata tamaa.
CC Kiranga https://www.jamiiforums.com/tanzania-2010-2015/84604-the-five-stages-of-grieving.html
 
Business model yako ikoje? Yaani utstengenezaje fedha.
 
Back
Top Bottom