Hahahahaa, na wewe ulipe pesa JF naona kama unatangaza biashara kidizain!!
BTW, hiyo pesa unayotaka upewe ni kwa ajili ya ushauri tu, siyo kwa kazi ya process za kubadili jina?
Peleka TRA 1. kadi ya gari , 2. mkataba wa kuuziana gari (lakini usainiwe na mwanasheria), 3. Tin number yako. Kisha watakuambia kiasigani ulipie ukilipa basi wanabadilisha jina. siyo kazi ngumu sana