Msaada : Nataka kubadilisha umiliki wa gari,liwe katika jina langu.nini cha kufanya?

Msaada : Nataka kubadilisha umiliki wa gari,liwe katika jina langu.nini cha kufanya?

chrisbsn

New Member
Joined
Mar 15, 2013
Posts
4
Reaction score
0
Nimeambiwa eti kuna haja ya wakala,sijui advocate...sijajua bado cha kufanya
 
Toa pesa upate huduma.Si kila ushauri ni wa bure

Hahahahaa, na wewe ulipe pesa JF naona kama unatangaza biashara kidizain!!
BTW, hiyo pesa unayotaka upewe ni kwa ajili ya ushauri tu, siyo kwa kazi ya process za kubadili jina?
 
nenda TRA kitengo cha mitor vihecal ukiuliza watakupa the all process
 
Peleka TRA 1. kadi ya gari , 2. mkataba wa kuuziana gari (lakini usainiwe na mwanasheria), 3. Tin number yako. Kisha watakuambia kiasigani ulipie ukilipa basi wanabadilisha jina. siyo kazi ngumu sana
 
Kama ni kampuni imekuuzia igonge muhuri wake kwenye kadi pia usisahau copy ya kitambulisho cha mnunuzi if possible na chamuuzaji
 
Back
Top Bottom