Chagga King
JF-Expert Member
- Jul 6, 2011
- 1,866
- 1,076
weka screen za kutosha watu waje kuangalia mpira...hio ni moja ya vivutio vya sehem kama hio
Kopesha bia wateja wako unaowajua kama mimi
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Mkuu unamaanisha niipige picha bar?,!
!
papige picha maeneo mbalimbali nikupe ushauri wa kitaalamu tena wa bure.
Siri ya bar zote zinazofanya vizuri huwa ni jiko na wahudumu wazuri.
Boresha jiko la kitimoto na jiko la nyamachoma na michemsho. Mengine itakua ni kama nyongeza.
Mkuu njoo hapa kwetu pazuri tabata segerea uangalie utajua kwanini tumejazana teleeeeeeee
Mkuu jiko liko vizuri Sana, wahudumu nataka niwaongeze baadaye kidogo
Yaani huko huko mafichoni kuzuri, ebu weka kititmoto.Huko mafichoni ndiko sisi mashehe twapenda, usiache nijulisha ilipo
Yaani huko huko mafichoni kuzuri, ebu weka kititmoto.Huko mafichoni ndiko sisi mashehe twapenda, usiache nijulisha ilipo[/QUOTE
Kuingiza udini kila mada ni dalili ya umasikini wa mawazo.