Msaada: Nataka kuboresha biashara yangu ya bar

Msaada: Nataka kuboresha biashara yangu ya bar

Chagga King

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2011
Posts
1,866
Reaction score
1,076
wanajamvi wenzangu, mimi nina bar yangu, ambayo location yake ipo mafichoni kidogo, na watu si wengi.

uendeshaji wake mwanzo kabla sijaichukua ulikuwa mbovu kutokana na mmiliki kuishi mbali.

sasa nimeichukua na nataka nifanye maboresho, je ni vitu gani niongeze tofauti na wahudumu.

ili iweze kuwa na tija. natanguliza shukurani.
 
weka screen za kutosha watu waje kuangalia mpira...hio ni moja ya vivutio vya sehem kama hio
 
Kopesha bia wateja wako unaowajua kama mimi

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
vipi khs kwenda kununua vinywaji kule kwa wajed* naskia price zao ziko poa, jeh wana vinyaji vya aina zote?, na kwa hapa dari ni duka lao lipi ndo liko poa.
 
Siri ya bar zote zinazofanya vizuri huwa ni jiko na wahudumu wazuri.

Boresha jiko la kitimoto na jiko la nyamachoma na michemsho. Mengine itakua ni kama nyongeza.
 
Siri ya bar zote zinazofanya vizuri huwa ni jiko na wahudumu wazuri.

Boresha jiko la kitimoto na jiko la nyamachoma na michemsho. Mengine itakua ni kama nyongeza.

Mkuu jiko liko vizuri Sana, wahudumu nataka niwaongeze baadaye kidogo
 
Kwanza itoe mafichoni , mie umeshaniogopesha kusema iko mafichoni.

Sema inaitwaje, iko wapi
Au hujaisajili !!!?!
Unawaogopa tra.
 
Mkuu njoo hapa kwetu pazuri tabata segerea uangalie utajua kwanini tumejazana teleeeeeeee
 
Yaani huko huko mafichoni kuzuri, ebu weka kititmoto.Huko mafichoni ndiko sisi mashehe twapenda, usiache nijulisha ilipo
 
Mkuu jiko liko vizuri Sana, wahudumu nataka niwaongeze baadaye kidogo

Suala la wahudumu "wanaojali" wateja ni la msingi sio mhudumu kachapwa kakofi katako anawaka ka kamwagiwa tindikali.....tafuta wahudumu wa kumfanya mteja atumie hadi hela aliyoficha kwenye soksi.
 
Kuwa karibu na wateja,una parking ya kutosha?weka mpaka viloba bila kusahau burudani wine weka bei nzuri na yachini kidogo kuvutia wengi
 
Weka wahudumu wenye ma.ta.ko makubwa wasiwe wagumu kukubali kupigwa kavukavu weka guest hapo bar..utashangaaa jinsi panavyojaa
 
Yaani huko huko mafichoni kuzuri, ebu weka kititmoto.Huko mafichoni ndiko sisi mashehe twapenda, usiache nijulisha ilipo[/QUOTE
Kuingiza udini kila mada ni dalili ya umasikini wa mawazo.
 
Back
Top Bottom