Cha msingi na chasekondari,
fanya yafuatayo kumaximize ur profit
1.tengeneza midule ya ukweli ukizingatia makuti yenye mvuto.,na jaribu kuyaweka mbali mbali kulingana na hadhi ya wateja
2.Jaribu kuweka utofauti kwenye bar yako na viti vya asili baadhi ya midule,weka vitu vya ngoz,gogo na masofa
3kitmoto na michemsho ni muhimu.
4.fanya bonge la promotion na wahudumu wavae sare zenye mvuto
5.Usisahau mziki mnene wakati wote ukizingatia wateja wanaokuwepo.