Msaada: Nataka kuboresha biashara yangu ya bar

Msaada: Nataka kuboresha biashara yangu ya bar

Yaani huko huko mafichoni kuzuri, ebu weka kititmoto.Huko mafichoni ndiko sisi mashehe twapenda, usiache nijulisha ilipo
Hawa ndo walewale, yaani hata kama watu wanaongelea mambo ya msingi wataanzisha tu ujinga wao wa udini na sijui kama utapata support hapa.
 
Cha msingi na chasekondari,
fanya yafuatayo kumaximize ur profit
1.tengeneza midule ya ukweli ukizingatia makuti yenye mvuto.,na jaribu kuyaweka mbali mbali kulingana na hadhi ya wateja
2.Jaribu kuweka utofauti kwenye bar yako na viti vya asili baadhi ya midule,weka vitu vya ngoz,gogo na masofa
3kitmoto na michemsho ni muhimu.
4.fanya bonge la promotion na wahudumu wavae sare zenye mvuto
5.Usisahau mziki mnene wakati wote ukizingatia wateja wanaokuwepo.
 
ni ngumu kukushauri bila kufahamu tatizo lililopo kwa sasa!
 
Back
Top Bottom