Msaada: Nataka kufungua 'Bookshop'

mwerevu mwenye busara

Senior Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
144
Reaction score
92
Habari wanajamvi,

Kutokana na ugumu wa ajira mtaani baada ya kugraduate nimefikiria nikapata wazo la kufungua bookshop hapa mtaani kwetu.

Soko la vitabu lipo maana kuna shule,makanisa na hospitali za kutosha tatizo sina uzoefu na hii biashara. Mtaji nilionao ni milioni moja ambayo sina uhakika sana kama itatosha kwa hii biashara yangu.

Naomba mawazo yenu wenye uzoefu na hii biashara ili kijana mwenzenu nijikomboe maana siwezi kufanya vizuri bila utafiti na mawazo yenu yatakuwa na mchango mkubwa sana katika utafiti wangu.

Mbarikiwe[emoji120]
 
Naam ngoja tukueleze

Biashara ya bookshop ni nzul na inahitaji mtaji wa kawaida ata lak 5 sharti kwamba vitabu utakavyouza wewe ndo uwafuate wateja.

Maana yake chagua level ya elimu ambayo utauza vitabu vyao mfano wanafunzi wa primary english medium so unaingia viwandani apo kkoo unafunga mzigo unaingia nao shuleni ukipita shule mbili tatu tu ushaludisha mtaji then unaanza kula faida.

Tanbihi: kuuza vitabu ukiwa mobile yani umefungua ka duka mfano sikushauri, hii biashara inafaa uwe mzululaji yaani siku moja umepita shule kama 10 iiv nadhani utqona faida yake.

abufadhil ayyub

Sent using Jamii Forums mobile app
 
abu fadhil ayyub ilomo,
Nilikua nauza vya dini ya kikristo ila nmeacha kwa sababu nmekosa muda...ila ulichomshauri ni kitu sahihi.
Biashara ya sasa inabidi uwatembelee wateja ila ukisubiri wateja dukani utaumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…