mwerevu mwenye busara
Senior Member
- Oct 23, 2016
- 144
- 92
Habari wanajamvi,
Kutokana na ugumu wa ajira mtaani baada ya kugraduate nimefikiria nikapata wazo la kufungua bookshop hapa mtaani kwetu.
Soko la vitabu lipo maana kuna shule,makanisa na hospitali za kutosha tatizo sina uzoefu na hii biashara. Mtaji nilionao ni milioni moja ambayo sina uhakika sana kama itatosha kwa hii biashara yangu.
Naomba mawazo yenu wenye uzoefu na hii biashara ili kijana mwenzenu nijikomboe maana siwezi kufanya vizuri bila utafiti na mawazo yenu yatakuwa na mchango mkubwa sana katika utafiti wangu.
Mbarikiwe[emoji120]