Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Npo mby mjini.fungua sehemu zenye kuchangamka kibiashara kama Dar, Arusha & Mwanza huko Sumbawanga watu wamezoea kuwafunga watoto vipande vya khanga hizo pampers usipokuwa makini utaishia kuvaa mwenyewe
Nipo mkoani nina mil. 5,nataka kufungua duka la nguo za watoto na kuuza pampers, mwenye uzoefu tafadhali anipe mawazo.
0768006745 from arusha,viatu og kabisa,aina zote,size zoteJamani kama kuna mfanya biashara waviatu vyakike vyakimasai naombeni mawasiliano yake