Msaada: Nataka kufungua duka la vitu vya watoto Mbeya

Msaada: Nataka kufungua duka la vitu vya watoto Mbeya

fungua sehemu zenye kuchangamka kibiashara kama Dar, Arusha & Mwanza huko Sumbawanga watu wamezoea kuwafunga watoto vipande vya khanga hizo pampers usipokuwa makini utaishia kuvaa mwenyewe
 
fungua sehemu zenye kuchangamka kibiashara kama Dar, Arusha & Mwanza huko Sumbawanga watu wamezoea kuwafunga watoto vipande vya khanga hizo pampers usipokuwa makini utaishia kuvaa mwenyewe
Npo mby mjini.
 
Nipo mkoani nina mil. 5,nataka kufungua duka la nguo za watoto na kuuza pampers, mwenye uzoefu tafadhali anipe mawazo.

Nina plan kama yako. Ngoja nisubiri michango ya wadau.
 
kwa mbeya tafuta fremu kati ya Mwanjelwa mpaka maeneo ya GR Hotel/Paradise Hotel ukifungua Stendi kuu au mjini Centre umeliwa. By the way we mwenyewe una mtoto tayari? i mean nawe uwe mdau/mteja ndo inanoga utaijua vizuri hii biashara.
 
umefikia wapi mkuu, nataka kuja kuanzisha kiwanda kidogo cha kutengeneza diapers & sanitary pads hapo mbeya niwe nauza kwa soko la ndani na na-export zambia, zimbabwe, malawi & mozambique. Eneo nimepata maeneo ya Songwe. kama upo bado mbeya tuwasiliane. 0768 100 702 kwa sasa namalizia kujenga gereji moshi.
 
Jamani kama kuna mfanya biashara waviatu vyakike vyakimasai naombeni mawasiliano yake
 
Back
Top Bottom