yam New Member Joined Sep 28, 2014 Posts 1 Reaction score 0 Feb 15, 2016 #1 je ni vitu gani hasa nitahitaji maana ni grosery ndogo tu sio kubwa sana wazoefu walioko humu ushauri wenu utakua msaada sana.. chochote unachojua kuhusu biashara hii kitakuwa msaada tosha kwangu asanteni..
je ni vitu gani hasa nitahitaji maana ni grosery ndogo tu sio kubwa sana wazoefu walioko humu ushauri wenu utakua msaada sana.. chochote unachojua kuhusu biashara hii kitakuwa msaada tosha kwangu asanteni..