Msaada, nataka kufungua kampuni ya umeme

Msaada, nataka kufungua kampuni ya umeme

Eng Mose

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2017
Posts
242
Reaction score
322
Wana jukwaa habari,

Naomba mnishauri na pia kunielekeza namna ya kufungua kampuni ya umeme pia na ujenzi, niwe na nini, kiasi pia cha fedha, pia njia zipi za kufuata.Pia changamoto baada ya kufanikiwa ni zipi, na namna ya kupata tenda na kujitangaza.
 
nenda wizara ya nishati, ukapewe mwongozo mkuu, utapata mengi mazuri
 
Back
Top Bottom