Keyboard, sound card, microphone, speakers na Mixer zina umuhimu kwenye picture na video production?Soundcard- focusrite 2 way
Microphone- condenser b2
Moniter speaker -m-audio
Mid keyboard
Mixer 4chanels or zaid
Kwa maelezo zaidi nipo hapa
Nami nilikuwa najiuliza, kwamba sikuhizi bila maspika ni kwamba picha inaungua au vipiKeyboard, sound card, microphone, speakers na Mixer zina umuhimu kwenye picture na video production?
Dah nikajua audio production..Keyboard, sound card, microphone, speakers na Mixer zina umuhimu kwenye picture na video production?
Na naona mleta uzi kataka awekewe bei.Nami nilikuwa najiuliza, kwamba sikuhizi bila maspika ni kwamba picha inaungua au vipi
Ukisema uanze ukiwa complete itakuhitaji shingapi kukamilisha hayo mahitaji?Mimi ni photographer.... kwa 4m unaweza kuanza ila
Kwa kujibana.... sio lazima uanze na kila kitu vyengine utakua unakodi na kununua taratibu....
anza na camera... pc... na lights
hivo ni vifaa vya audio production .Naomba uweke na Bei zake mkuu.
hivo ni vifaa vya audio production .
Kwa video
-Canon 5d au 7 camera
-Pia kuna nikon d7000
-Camera lens kama 3 hiv za aina tofauti tofauti..kwa matumiz tofaut pia
-Kuna video light na filters
Anapata mkuu sema sio vipya kabisa..Kwa io pesa yake million 4 hawezi kununua vyote ivo....
Kwa mfano nikianza na picha tu nahitaji printer, camera pamoja na PC . Je Ni printer ipi na PC zinafanya vizuriApo tafuta canon 60d... kwa sababu ni camera ya bei ndogo na ina matokeo mazuri kidogo... lens tafuta 50mm 1.8... hii ita kusaidia kwenye upande wa video pia... tafuta na zoom lens pia... pc tafuta yenye graphics card kubwa... ata ikiwa 2gb sio mbaya... speedlight moja ukipata na softbox yake itakua safi zaidi... tafuta na video light moja.. mic... then your good to go..
Epson l385Kwa mfano nikianza na picha tu nahitaji printer, camera pamoja na PC . Je Ni printer ipi na PC zinafanya vizuri
Bei za vitu hivi bado ipo hivi kweli au imepanda?Soundcard- focusrite 2 way 450k
Microphone- condenser b2 350k
Moniter speaker -m-audio 750k
Mid keyboard 400k
Mixer 4chanels or zaid
Kwa maelezo zaidi nipo hapa
Printer chukua epson l850Kwa mfano nikianza na picha tu nahitaji printer, camera pamoja na PC . Je Ni printer ipi na PC zinafanya vizuri
Printer chukua epson l850