Msaada nataka kufungua studio (pictures & video production)

Msaada nataka kufungua studio (pictures & video production)

Jkitamoga

Member
Joined
Jul 25, 2021
Posts
33
Reaction score
11
Habarini watanzania wezangu? Poleni na majukumu. Naomba msaada wenu, nataka nifungue studio hivyo wazoefu mnipe mchanganuo wa vifaa pamoja Bei zake. Mtaji ni not less than 4m.
 
Soundcard- focusrite 2 way 450k
Microphone- condenser b2 350k
Moniter speaker -m-audio 750k
Mid keyboard 400k
Mixer 4chanels or zaid

Kwa maelezo zaidi nipo hapa
 
Soundcard- focusrite 2 way
Microphone- condenser b2
Moniter speaker -m-audio
Mid keyboard
Mixer 4chanels or zaid

Kwa maelezo zaidi nipo hapa
Keyboard, sound card, microphone, speakers na Mixer zina umuhimu kwenye picture na video production?
 
Nimejichanganya muda mrefu na watu wanaopiga hizo ishu.

4M inatosha ila kwa kujibana.

Mfano usinunue kamera latest yenye uwezo badala yake unachukua ya size ya kati ambayo itabidi wewe uwe pro kwenye kupiga picha na kuedit.

Pia mashine utakayotumia kuedit na kurender inamatter, nilipokua nahang walikua wanatumia mac wanasema kioo chake na ile final cut vinarahisisha kazi. Kuna watu wanatumia adobe hawa hata windows kwao siyo tatizo na huwa wanakuwa hatari.

Kuna lights na stands utazihitaji pia.

Vifaa vingine unaweza kukodi so siyo lazima uwe navyo vyote kwa mara moja.
 
Nami nilikuwa najiuliza, kwamba sikuhizi bila maspika ni kwamba picha inaungua au vipi
Na naona mleta uzi kataka awekewe bei.

Nawaza hiyo siku anaenda dukani na kununua hizo ishu kisha anaziweka ofisini.
 
Mimi ni photographer.... kwa 4m unaweza kuanza ila
Kwa kujibana.... sio lazima uanze na kila kitu vyengine utakua unakodi na kununua taratibu....
anza na camera... pc... na lights
 
Mimi ni photographer.... kwa 4m unaweza kuanza ila
Kwa kujibana.... sio lazima uanze na kila kitu vyengine utakua unakodi na kununua taratibu....
anza na camera... pc... na lights
Ukisema uanze ukiwa complete itakuhitaji shingapi kukamilisha hayo mahitaji?
 
Naomba uweke na Bei zake mkuu.
hivo ni vifaa vya audio production .

Kwa video
-Canon 5d au 7 camera
-Pia kuna nikon d7000
-Camera lens kama 3 hiv za aina tofauti tofauti..kwa matumiz tofaut pia
-Kuna video light na filters
 
Apo tafuta canon 60d... kwa sababu ni camera ya bei ndogo na ina matokeo mazuri kidogo... lens tafuta 50mm 1.8... hii ita kusaidia kwenye upande wa video pia... tafuta na zoom lens pia... pc tafuta yenye graphics card kubwa... ata ikiwa 2gb sio mbaya... speedlight moja ukipata na softbox yake itakua safi zaidi... tafuta na video light moja.. mic... then your good to go..
 
hivo ni vifaa vya audio production .

Kwa video
-Canon 5d au 7 camera
-Pia kuna nikon d7000
-Camera lens kama 3 hiv za aina tofauti tofauti..kwa matumiz tofaut pia
-Kuna video light na filters

Kwa io pesa yake million 4 hawezi kununua vyote ivo....
 
Apo tafuta canon 60d... kwa sababu ni camera ya bei ndogo na ina matokeo mazuri kidogo... lens tafuta 50mm 1.8... hii ita kusaidia kwenye upande wa video pia... tafuta na zoom lens pia... pc tafuta yenye graphics card kubwa... ata ikiwa 2gb sio mbaya... speedlight moja ukipata na softbox yake itakua safi zaidi... tafuta na video light moja.. mic... then your good to go..
Kwa mfano nikianza na picha tu nahitaji printer, camera pamoja na PC . Je Ni printer ipi na PC zinafanya vizuri
 
Soundcard- focusrite 2 way 450k
Microphone- condenser b2 350k
Moniter speaker -m-audio 750k
Mid keyboard 400k
Mixer 4chanels or zaid

Kwa maelezo zaidi nipo hapa
Bei za vitu hivi bado ipo hivi kweli au imepanda?
 
Back
Top Bottom