Msaada: Nataka kuishitaki nyumba ya ibada iliyo jirani na nyumba yangu

Rwanda Mkuu wao wa nchi alipiga marufuku kelele hizo na wako shwari kabisa. Aliwaambia kwani mtu hana saa kujua ni wakati wa kuabudu. Wananchi walimuelewa na amani ipo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mkuu hapo ukijaribu tu kuongea....kesho yake utasikia unaitwa Kafiri...ila wew waite Khorafi

Motivation_Ba.D
 
Pole sana mkuu ...binafisi naishi jirani kama ww nakushauri tafuta namna uhame vinginevyo ukiwashitaki yatakuwa mengineyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nakubaliana kabisa na uhuru wa kuabudu... ila kupigiana kelele sio sawa kabisa.
Sikubaliani na kelele za bar, misikiti, makanisa n.k. hii haiko sawa kabisa.. mimi nipo takaribani mita 700 na msikiti lakini wakati mwengine huwa nasikia. Sasa wale waliopo mita 10 inakuwaje.
Kuna adhana ya kwanza saa kumi... sasa huyu wa huku kila baada ya dk 15 anatoa update. Hivi sasa ni saa 10.15... swalaaaaa swalaaa swalaaa, hivi sasa ni saa 10.30 swalaaa swalaaa swalaaaa waislamu swalaaaa.... yaani ndio hivyo mpka 5.30 hadi 6.05.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukhanisi huo. Amkeni mkaswali. Unataka kumshtaki kwa faida yako mwenyeo. Kamshtaki uwone Kitakachotokea. Niko Tayari kufa na ww kwa lolote lile na liwe. Unafikiri Allah atakutizama t

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hizo ni ibada za ajabu zilizopo duniani.Ukiwa na akili ya woga utaogopa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…