Msaada: Nataka kuishitaki nyumba ya ibada iliyo jirani na nyumba yangu

Kwakweli hao wanazingua kabisaaaa..! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh!. Huwezi kuishtaki nyumba ya Ibada, kwa sababu nyumba haina mdomo wa kunena hayo.

Badala yake, fatilia mzungumzaji wa maneno hayo. Kisha peleka mahakamani.

Anakutia hofu na kukukosesha Uhuru wa kufanya mambo yako.

Pole sana.
Unawashtaki vizur tu..! We shitaki peleka barua ya kutoka mahakani kwa huyo imamu yeye ndo atawataja hao wanaotoa kauli hizo...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio kaka tunavumiliana sana kwenye haya mambo... Ila kwa wale yanayowahusu hawanaoni tatizo sio wote ila wengine hata kama hawaswali wanafikir wakikosoa watakuwa wanapata dhambi, si unajua watu tunavyoogopa vitisho vya kiimani.
Swala ni bora kuliko usingizi... Alafu sasa mara nyingi wanaosema hivyo saa hizo ni mababu, tayar walishauchapa usingizi ujanani sasa wamekuwa wazee usingizi ni wa manati, wanawaambia wengine usingizi si muhimu kuliko sala, aliyesema hivyo ni nani???
Hivi anajua kama usingizi ni afya kwa ubongo???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Funga 'anti missile system'... Hutokaa uwasikie tena.
Unajua sauti inasafiri kwa mawimbi.. So ukifunga system ya sound attenuation ikayalegeza mawimbi hayatokufikia.. Ni kama bomba la moshi la gari linavyofanya kazi.
 
Planners kuna mambo wanayaoverlook ila yanakera sana. Taifa letu linaamini sana katika Uhuru wa Kuabudu na wakati huo tunaamini katika Uhuru wa Kuishi na Utu. Uhuru wa Kuabudu unatumiwa vibaya kiasi kwamba imekuwa ni shurutisho la Kuabudu.

Huku mbeleni Planners wafanye mpango wa kuweka Msikiti, Makanisa na Kumbi za Starehe mbali na makazi ya watu.
 
Suala la kuuliza kwa waislam wezangu .Je Mtume wa Mwenyezi Mungu S.A.W..aliwahi kuamsha watu asubuhi kwa maneno kama hayo ?au masahaba zake waliwahi?na kama hajafanya yeye kwa nini tufanye sie ?haya maneno ya naweza kusema kwenye kuwapa mawaidha waislam .sio kufanya kama nguzo ya kuamsha watu kwenda kusali .tumefundishwa adhana na kwa watu wa nyumbani kwako kuwaamsha ikiwa wamo kulala .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba nipite kimya kimya maana Duuuuuuh. Kusoma hii thread tu naogopa kwenda kulala.
 
Hili la nyongeza limesaidia hasa kwa zama hizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Plan hiyo utaionea ndotoni...ni nchi gani yenye plan hiyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna aliyekufosi kuishi karibu na msikiti?kijana fanya uhame tu...hizi kelele unazopiga hazitakuwa solution kwa hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha choko zako Wewwee..hizi update umezitunga mwenyewe....adhana ni mbili na maneno hayo yanasemwa kila baada ya adhana...nyinyi mmejenga chuki juu ya uislamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah hii thread bana,haitawaacha watu salama

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
 
Jumuikeni wote pamoja na huyo mleta mada mkashitaki....pwagu na pwaguzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ha hahaha mkuu pole halafu spika zimegeuzia kwko lazima usikie tu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…