Msaada; Nataka kujiunga na CRDB gharama jee?

Msaada; Nataka kujiunga na CRDB gharama jee?

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
9,846
Reaction score
20,319
nataka kufungua a/c CRDB ila sijajua gharama ya kufungua a/c ama kujiunga na CRDB
Gharama ni shilingi ngapi? Na vigezo jee
 
mlojiunga na crdb mkuje
 
Nenda kwenye tawi la CRDB kufungua ni bure ingawa kuna pesa unatakiwa ku deposit kwa siku ya kwanza.
 
Back
Top Bottom