MSAADA nataka kujua Pikipiki YA kichina yenye spiid kubwa

MSAADA nataka kujua Pikipiki YA kichina yenye spiid kubwa

costerntine

Senior Member
Joined
May 5, 2013
Posts
172
Reaction score
27
Ndugu zangu natafuta engine yakichina yenye nguvu naspiidi kubwa sijui ni ip nataka kumodify pikipiki yangu aina YA Honda cb125 maana spare original zimenishinda
 
Hiz Gn sidhan kama kuna pikipiki yenye speeed unayoitaka labda ufunge apo ya mhindi boxer x150 motoo
 
Back
Top Bottom