Msaada: Nataka kukopa CRDB

binkiko2

Member
Joined
Mar 2, 2019
Posts
15
Reaction score
5
Jamani, nahitaji kwenda kukopa pesa CRDB vigezo na masharti yao ni yapi? na kama nina account na haijatumika muda mrefu naweza kupatiwa mkopo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sijui kama bado wanakopesha, na Corona hii.. ukifa kesho je....nakutania bwa sheee...nenda kakopee ujenge heshima mjini
 
sijui kama bado wanakopesha, na Corona hii.. ukifa kesho je....nakutania bwa sheee...nenda kakopee ujenge heshima mjini
Hiki kipindi ni kigumu kukopesha ila kwa huu ugonjwa kuna biashara zinaathirika na kuna zinazo fanya vizuri,isipokuwa hofu ndio tatizo,maana huu ugonjwa bwana!usipo ufuata basi utaletewa haswa kwa watoa huduma


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…