Msaada nataka kumbadilishia mazoea

Msaada nataka kumbadilishia mazoea

Pole broo!huyo mwenza amesoma boarding isije kua kashawahi kusagana hvyooo!!!ndo maana anainjoi kujipiga finga mwenyewe
 
Pole broo!huyo mwenza amesoma boarding isije kua kashawahi kusagana hvyooo!!!ndo maana anainjoi kujipiga finga mwenyewe
Huenda! Kwa kuzingatia hilo imebedi niombe ma legends mnisaidie niweze kumrekebisha haya mazoea bila kumuumiza kihisia
 
Nimependa uwasilishaji wako..hakika somo la fasihi ulilitendea haki.

Nakushauri nenda naye vile apendavyo..mana hawa viumbe suala la kufika safari wao ndio wajuzi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Jamani sio lazima kila siku mizani ibalance, kuna siku unafanya kwa ajili yake na kuna siku anatakiwa kufanya kwa ajili yako, na siku zingine mnaenda sambamba.

Sisi hupanga kabisa, kwamba bwana ee mimi leo nakutumia na hakuna kitu utafanya!!!

Maisha hayahitaji ubinafsi.
Tatizo mijitu inataka eti kila siku wote mridhike hiyo haipogo hiyo, kuna siku kadhaa mmoja atadanganya karidhik kumbe hollaa.

Ni bora kua muwazi tu hasa kama vichocheo vyenu haviendani kama mleta uzi.
 
Ma legends,

Nimepata changamoto ya kusafiri na huyu wife material!

Changamoto ninayopitia ni kuwa kila tukianza safari ya utalii wa ndani, huwa tunaanza kwa pamoja, kanda ya kaskazini. Tunapotoka kanda ya kaskazini mimi huwa niweke pozi kanda ya ziwa. Hapo nitakaa muda kadhaa nikirukaruka kwenye yale mamiamba.

Sasa wakati naendelea kubarizi hapo kanda ya ziwa, mwenzangu hukimbia harakaharaka kwenda kanda ya kati. Nikitaka kumfuata huko, hunisisitiza niendelee kubaki hapo hapo kanda ya ziwa lakini yeye anakuwa bize huko kanda ya kati. Nimejaribu kutumia mbinu za kuzunguka nyanda za juu kusini ili niungane naye kanda ya kati lakini huwa naambulia kurudishwa kanda ya ziwa.

Akikaribia mwisho wa safari anakuita harakaharaka uungane naye kanda ya kati. Kwa hiyo natoka mbio ili nimuwahi hapo kanda ya kati. Sasa hii ratiba inaninyima uhuru wa mimi kuamua nimpitishe wapi ili afurahii utalii wa ndani. Kwa hiyo ma legends, naomba mbinu za nimbadilishia hiyo ratiba yake ya safari.
Utalii wa ndani muhimu sana, mpitishe maeneo adhimu ambayo ni kivutio kwako na yeye atakuelewa, mwambie aache papara
 
Back
Top Bottom