Pole sana munyanga! Nakuonea huruma sana kwa tatizo lako! Samahani kwa kuchelewa kukujibu nimekuwa sipo hapa jf Mara kwa Mara kutokana na Kwenda mbio na maisha, anyway kwani wewe na suki ni ndugu? Kwani nimempatia maelezo ya kutosha, Kama I nasumbuliwa na kiungulia ni kwasababu hao bacteria wana produce ammonia gas! Au mtu mwingine Anakuwa na fishy smell! Nilipogunduliwa kuwa na hao bacteria sikumbuki doctor wangu alitumia antibiotics zipi na hizo proton inhibitors Lakini Sio kitu nitajaribu kumuuliza Ili anifahaamishe ila kumbuka hawa bacteria wako very resistant na dawa! Kuna options 3 za kuwatibu hawa bacteria na zote kwa hiyo unaweza kuona kuna combination za antibiotics nyingi! Ikishindikana kuwatibu kwa option ya 1 na 2 huwa wanatumia triple therapy ambayo ni stage ya mwisho! Sina uhakika Kama una daktari mzuri mwenye kupeleka jinsi ya kutibu Ili tatizo! Nitajaribu kuuliza Kama inawezekana wa kununua hizo dawa hapa Japan elewa nchi hizi za dunia ya 1 Sio rahisi kununua dawa without prescription form kutoka kwa daktari! Sasa sina uhakika Kama wana taratibu za kukubali prescription form kutoka nje ya Japan! Hata hivyo kuna online pharmacy kule marekani, uingereza na Canada ambao wao Kama una prescription form kutoka kwa daktari wako wanakuuzia dawa bila tatizo! Tafadhali Kama unataka kuwasiliana na Mimi ukatumia private message kuliko ku post hapa kwenye hii thread Sio kwasababu mbaya isipokuwa wakati ninapokuwa na soma thread mbali mbali huwa siipati hii thread kutokana na thread kuwa nyingi hapa jf, ninafikiri utakuwa na hao bacteria wanakusumbua pia unaweza kunitumia SMS kwenye simu yangu au barua pepe
mgnjmoses@live.co.uk, pole sana utapona ila fanya jitihada, stay blessed.