Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupita kimya kimya kwenye jambo ambalo huelewi chochote ni busara ToshaSasa hao wanaouza si uwaulize?
Naomba nisamehe mkuuKupita kimya kimya kwenye jambo ambalo huelewi chochote ni busara Tosha
Ushauri tafadhaliHabari,
Kuna mnada wanauza gari zilizokufa za serikali namba SM na STG. Ninataka kujua taratibu za kubadili umiliki.
Je, hatua gani za kufuata? Na Je, Kuna ukweli Kuna uwezekano kulipia ushuru kama gari zikiingia bila ya ushuru?
Ahsanteni.