Msaada nataka kununua hii gari "suzuki grand vitara ya 2004 cc 1990"

Msaada nataka kununua hii gari "suzuki grand vitara ya 2004 cc 1990"

feyzal

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2016
Posts
7,683
Reaction score
15,128
Habari zenu wakuu samahani kwa kuwasumbua mimi mgeni katika ulimwengu wa magari ila mwezi wa 5 nataka kununua gari baada ya kuchanga milioni kadhaa kwa ajili hiyo...naomba kufahamishwa hiyo gari mwenye kuifahamu
1.bei kwa mtu au ya kuagiza
2.ubora na comfortability ukiwa kwenye mwendo
3.upatikanaji wa vipuri
4.ulaji wa mafuta
5.matatizo yake kwa ujumla
 
Bei zake ni kati ya 24.5m

Ukisema kuagiza kupitia kampuni yetu (Semsella ENTERPRISES)
Unalipia

Unalipia 18,375,000
Gari inaletwa, unakabidhiwa
6,126,000 iliyobakia
Unaimalizia kwa instalment mwezi mmoja baada ya gari kukabidhiwa kwako.
Kila mwezi unakua unalipa Tshs 875,000
Kwa muda wa miezi saba.


Semsella Enterprises/ecarstanzania
P.o.box 63178, Dar es salaam
Shekilango, nhc plot number 242
Block number 1,1F
Call/text/Whatsapp text us 24/7
+255745229947
 
Back
Top Bottom