Msaada: Nataka kununua HISA, ila sina uelewa kabisa

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
7,427
Reaction score
10,905
Tafadhali kama una uelewa wa
:-
1.,Nini maana ya HISA
2. Zipi ni faida na hasara za kununua HISA?
3. Je, ni Lazima niwe mjuvi wa hesabu ili kuingia ktk ununuaji wa HISA?
4.Je, Soko la HISA la Dar es salaam wana utaratibu wa BIMA kama kuna risks zozote zinazoambatana na ununuzi wa HISA.
5.,Na..,Je, kwanini Makampuni ya Tanzania hayamo ktk masoko mengine ya HISA ya Africa Mashariki?

Nitashukuru ukinipa majibu pia kwa ajili yangu na wanabodi wengine ambao huenda hujiuliza kama mimi.

Na: N'yadikwa 。
 
nenda golden jubilee ghorofa ya nne orbit securities wako pale utapata majibu ya maswali yako
 
Hata kama utapata majibu hisa ni biashara kichaa
 
Nenda jengo la ubalozi wa zambia pale posta kuna vertex utapata majibu ya maswali yko
 
Hongera kwa wazo lako zuri...nakushauri ipitie thread za nyuma kuna mtu jukwaa la biashara alitoa somo kuhusu haya mambo!!! Ukizipata utakua umemaliza kila kitu!!
Ila kwa kuanzia google "dse tanzania" then soma humo nadhan utapata kitu pia.
 
Shukrani
 
Hata kama utapata majibu hisa ni biashara kichaa
Sio kweli ulichoandika, na usimkatishe mwenzio tamaa. Biashara ya hisa ni nzuri sana kama utakuwa makini kuchagua kampuni inayofanya vizuri. Ukipata kampuni inayofanya vizr hii biashara ya hisa inalipa kuliko hata kufungua duka na kujikalisha hapo kutwa nzima!!
 
Hivi kwanini NMB ndio Top Losers kwenye hisa
 
Huo ubishi wako ni kwa sababu hujasoma uhasibu. Sikulaumu kwa hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…