inspectorbenja
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 597
- 651
Bajeti yako Tsh ngapi mkuu?Wadau habari,manzanita mwenzenu kulingana na haki ya uchumi nataka kununua kagari kanakolingana na hali yangu mm kablwela.
Baada ya uchunguzi wa hapa na pale nikangukia kwenye Suzuki Swift old Model.
Je uimara wake wa Engine,ukaji wake wa mafuta na mengineyo upoje.Je mnanishaurije.
Carina bei hairuhusu,IST bei haishikiki.Vitz sipendi matako yake nyuma.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Nataka kununua mkononiBajeti yako Tsh ngapi mkuu?
Hii swift sport,nasikia upatikanaji wake wa vipuli ni mgumu sana.
-Kihusu engine hakuna tabu, ni wewe tu na utakavyo ipenda kwa service.Wadau habari,manzanita mwenzenu kulingana na haki ya uchumi nataka kununua kagari kanakolingana na hali yangu mm kablwela.
Baada ya uchunguzi wa hapa na pale nikangukia kwenye Suzuki Swift old Model.
Je uimara wake wa Engine,ukaji wake wa mafuta na mengineyo upoje.Je mnanishaurije.
Carina bei hairuhusu,IST bei haishikiki.Vitz sipendi matako yake nyuma.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Sasa kama anaweza kuagiza/kununua Gari atashindwaje kuagiza vipuri ambavyo siku hizi ukiagiza haizidi wiki mbili kifaa kishafika, hivi watanzania huu ushamba wa kuogopa kuagiza spare parts/vipuri zama hizi za science na technology utatuisha lini??Hii swift sport,nasikia upatikanaji wake wa vipuli ni mgumu sana.
Gani?Ngoja waje kukupa muongozo...
Da,kuna watu humu walisema Swift unaoata Lita 1 mpaka km 20.Naona sasa kumbe hiyo siyo sahihi-Kihusu engine hakuna tabu, ni wewe tu na utakavyo ipenda kwa service.
-Ndani ina nafasi nzuri tu ukilinganisha na vits na ist.
-Iko juu ground c yake, haisumbui ktk barabara za mashimo.
Mafuta iko chini sana kwa mizunguko ya kawaida, ila ukibeba mzigo mzito/watu wakubwa levo siti, gari itatumia mafuta mengi hadi utashangaa. Hilo ni tatizo la magari madogo karibu yote, lisikutishe. Ukibeba levo siti watu wazima itakupiga kama km.09-10/L 1, na kama ni miinuko itashuka chini ya 9.
Changamoto kubwa kwa Swift old ni miguu ya mbele kuvuma sana, hata ukirekenisha huwa inajirudia, ila wengine humaliza hilo tatozo kwa modficatio ya kukata miguu ya Swift na kuigeuza kua ya corola, tatizo linaisha.
Ikaiwa haina mzigo, na hiyo safari si ktk makazi ya watu na ni lami kwa tambarare huwa inafika ila kwa sharti uwe na plagi za platmun/iridium og, uwe na oil sahihi ya 5W-30/10W-30, inaweza ikafikisha maana binafsi nishafikisha kama 17-18 km/L, ila tukiwa na watu kufikia watano, huwa natumia lita 14 kwa safari ya nenda rudi ya 180km, ndio maana natumia wish ambapo huwa natumia lita 14 hata tukiwa 7, kwa safari hiyo hiyo, hapo km32 bara² ni vumbi.Da,kuna watu humu walisema Swift unaoata Lita 1 mpaka km 20.Naona sasa kumbe hiyo siyo sahihi
Mdanganye mwenzako na Ile lugha ya 'dunia Ni Kijiji Sasa,utaagiza tu spare'.Sasa kama anaweza kuagiza/kununua Gari atashindwaje kuagiza vipuri ambavyo siku hizi ukiagiza haizidi wiki mbili kifaa kishafika, hivi watanzania huu ushamba wa kuogopa kuagiza spare parts/vipuri zama hizi za science na technology utatuisha lini??
kitu cha maana ni kwanza vipuli vinapatikana---Ugumu wa upatikanaji ni kitu kingine. Hiyo ni spear za gari, ---FIKIRIA SPEAR ZA BINADAMU KAMA FIGO ETC ZINAPATINA PIA!!!!Hii swift sport,nasikia upatikanaji wake wa vipuli ni mgumu sana.
Ni spea gani ya suzuki swift haipatikani hapa tz?Mdanganye mwenzako na Ile lugha ya 'dunia Ni Kijiji Sasa,utaagiza tu spare'.
Wenye Bimmer,Audi,Benz, Jaguar hapa bongo hio kauli inawaliza mpk kamasi kila siku.
Alichotaka yeye ni ushauri juu ya baadhi ya vitu ktk gari fulani, kama hauko tayari kumshauri acha tu na sio kutoa povu kiasi hicho.Pesa umetafta mwenyewe
Matumizi unataka ushauriwe jinsi gan ya kuzitumia duuuh kwel
Gari sio matako kwamba kila mtu anayo we nunua gar uipendayo
Iv ikitokea wote wameiponda iyo swift ndo utaacha kuinunua?