Gushleviv
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 3,475
- 5,290
Kununua hayo magari uliyoorodhesha wakati bado kichwani una mentality kama zako yatakushinda tu, na wengi walionunua hayo magari ndio wako hivyo na ndio yanayowasumbua. Wachache wanaojitambua mbona wanaishi nayo fresh tu. Ni upumbavu na kutokuwa na akili kuweza kutumia mamilioni kuagiza gari nje ya nchi alafu unaogopa kuagiza spare ya sh laki nne au laki tano sababu unashindwa kupaki gari ndani au garage kusubiria spare ije.Mdanganye mwenzako na Ile lugha ya 'dunia Ni Kijiji Sasa,utaagiza tu spare'.
Wenye Bimmer,Audi,Benz, Jaguar hapa bongo hio kauli inawaliza mpk kamasi kila siku.