Kununua hayo magari uliyoorodhesha wakati bado kichwani una mentality kama zako yatakushinda tu, na wengi walionunua hayo magari ndio wako hivyo na ndio yanayowasumbua. Wachache wanaojitambua mbona wanaishi nayo fresh tu. Ni upumbavu na kutokuwa na akili kuweza kutumia mamilioni kuagiza gari nje ya nchi alafu unaogopa kuagiza spare ya sh laki nne au laki tano sababu unashindwa kupaki gari ndani au garage kusubiria spare ije.Mdanganye mwenzako na Ile lugha ya 'dunia Ni Kijiji Sasa,utaagiza tu spare'.
Wenye Bimmer,Audi,Benz, Jaguar hapa bongo hio kauli inawaliza mpk kamasi kila siku.
Mimi Ni mmoja Kati ya hao wapumbavu mwenye jaguar 2010 XF R-Sport.Kununua hayo magari uliyoorodhesha wakati bado kichwani una mentality kama zako yatakushinda tu, na wengi walionunua hayo magari ndio wako hivyo na ndio yanayowasumbua. Wachache wanaojitambua mbona wanaishi nayo fresh tu. Ni upumbavu na kutokuwa na akili kuweza kutumia mamilioni kuagiza gari nje ya nchi alafu unaogopa kuagiza spare ya sh laki nne au laki tano sababu unashindwa kupaki gari ndani au garage kusubiria spare ije.
Sawa, tajiri.Mimi Ni mmoja Kati ya hao wapumbavu mwenye jaguar 2010 XF R-Sport.
So I walk the talk.
mi ninayo namiliki old model yenye engine ya M13A cc 1300 ni gari moja nzuei sana himilivu ila nilichogundua haina good fuel consuption , engine ndogo ila ulajinwa mafuta ni km ndugu yake toyota cami,na terros kidWadau habari,manzanita mwenzenu kulingana na haki ya uchumi nataka kununua kagari kanakolingana na hali yangu mm kablwela.
Baada ya uchunguzi wa hapa na pale nikangukia kwenye Suzuki Swift old Model.
Je uimara wake wa Engine,ukaji wake wa mafuta na mengineyo upoje.Je mnanishaurije.
Carina bei hairuhusu,IST bei haishikiki.Vitz sipendi matako yake nyuma.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.