MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
- Thread starter
- #41
Mie huyu huyu.Hata siutesi moyo wako
Nitumie tu nauli uone mambo yatajipa
Ila unafanya siyo vizuri kabisa.
Haya nielekeze majani ya mlenda ndiyo yakoje sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie huyu huyu.Hata siutesi moyo wako
Nitumie tu nauli uone mambo yatajipa
.....hahahahaha..,mi toka mwanzo,na sasa na siku zote milele mi mtu wa nguna,tena la mtama;we mboga 9 najua unatusorora tu!
....mlenda umekula zamaaaaaaaniiiii,wakati sie tunaula deile neva miss!!
..dagaa mchele unawajua????
AGIZA DODOMA UPO WA MAJANI NA WA UNGAWewe Espy mimi ni kaka yako sana, tena saaaana!
Haya niambie mlenda wa asili naupataje?
Mlenda mboga nzuri sana ,na rahisi kupika
Umeokoa jahazi ila majani huwa ni machache sana maana huwa siyaoni au njaa ndio inaniziba macho!Nunua bamia,katakata na majani ya maboga tia chumvi acha vichemke kama nusu saa then ipua,au unamaanisha mlenda wa usiku?