Ebu mpige picha alafu tuma maana akuna formula ya icho kitu kwasabubu inategemeana na aina ya Nguruwe, malisho, umli na jinsiaangalau hata formula ya kujua uzito wake kwa ujumla
🐖🐷🐽Ebu mpige picha alafu tuma maana akuna formula ya icho kitu kwasabubu inategemeana na aina ya Nguruwe, malisho, umli na jinsia
Hiyo unapata idadi ya Kilo za nguruwe kabla hujamchinjaView attachment 1835316
Uzito = Girth(M)*Girth(M)*Length(M)*69.3 inakuwa na uhakika kwa asilimia 95
Ndio kwa kuwa kipimo ni kwa mita hivyo futi kamba ya kawaida inafaanaweza kutumia futi kamba za kawaida kupima
Mbona jibu laweza kuwa laki kadhaa. Hebu weka mfano halisiaView attachment 1835316
Uzito = Girth(M)*Girth(M)*Length(M)*69.3 inakuwa na uhakika kwa asilimia 95
Kipimo ni kwa mita kaka sio sentimita . mfano mzingo wa kifua 1.27(M) na urefu 1.02(M).Mbona jibu laweza kuwa laki kadhaa. Hebu weka mfano halisia
mengine yana urefu mita 2 hilo beseni utapata wapiMdumbukize nguruwe kwenye beseni lililo jaa maji. Kusanya yale maji yatakayo mwagika then uyapime kwa lita. Kila lita ni sawa 0.001m3 . Then zidisha lita za maji yaliyomwagika X 0.001. Then zidisha tena kwa 1000. Hapo utakuwa umepata uzito wa nguruwe
Nunua tape measure ya kupima uzito wa nguruwe. Kuna member la advice hapo juu. Ni rahisi Sana kumpimanguruwe akiwa bandani kutambua uzito wake ni shughuli kwa sababu hakuna mizani za kuweza kumpima akiwa hai kwa sababu ni msumbufu.
Naomba kufahamu ni mbinu zipi za kutumia kujua au kupima uzito wa mnyama huyu nguruwe, ili nikimnunua nijue baada ya kutoa utumbo na kichwa angalau nitabaki na kilo kadhaa za nyama. kuangalia kwa macho na kukadiria siwezi.
Watalaamu mje.
Kwa hiyo unataka kumuibia mfugaji?shukarani, naanza kununua na kuchinja hii itanisaidia kukadiria liveweight na nijue jinsi ya kumpasua mfugaji
Mkuu nguruwe anaangaliwa asubuhi kabla hajalishwa Mimi Nina uwezo wakuangalia tuu na nkakuambia kg zakenguruwe akiwa bandani kutambua uzito wake ni shughuli kwa sababu hakuna mizani za kuweza kumpima akiwa hai kwa sababu ni msumbufu.
Naomba kufahamu ni mbinu zipi za kutumia kujua au kupima uzito wa mnyama huyu nguruwe, ili nikimnunua nijue baada ya kutoa utumbo na kichwa angalau nitabaki na kilo kadhaa za nyama. kuangalia kwa macho na kukadiria siwezi.
Watalaamu mje.