Msaada: Nataka kupima/kujua uzito wa nguruwe bila kutumia mizani

Mdumbukize nguruwe kwenye beseni lililo jaa maji. Kusanya yale maji yatakayo mwagika then uyapime kwa lita. Kila lita ni sawa 0.001m3 . Then zidisha lita za maji yaliyomwagika X 0.001. Then zidisha tena kwa 1000. Hapo utakuwa umepata uzito wa nguruwe
Achmedis principle umenikumbsha form one[emoji23]
 

Attachments

Kipimo ni kwa mita kaka sio sentimita . mfano mzingo wa kifua 1.27(M) na urefu 1.02(M).
Uzito = (1.27*1.27)*1.02*69.3 jibu linakuwa ni Kilo 114
Nzuri au uzito=(1.27*1.27)*1.02/400 vipimo ni kwa nchi..!jibu litakuja katika pounds..!then badili pounds(lb)kuwa kg..!1kg=2.202lb
 
Usichanyanye mada mkuu,
Hapo atapata na uzito wa utumbo kichwa na kongoro ambae yeye hahitaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…