Habari wadau,
Nimepata fursa ya kupeleka USA baadhi ya bidhaa ambazo ni Matembele, Mchunga, Mbegu za mronge na Shanga za kimasai. Hivyo naomba kujua procedures za kufuata ili niweze kusafirisha hizo bidhaa.
Kwa kuanzia nataka nipeleke 30kg kwa kila bidhaa na shanga 100pcs.
Natanguliza shukrani