Msaada: Nataka kusafirisha bidhaa kwenda USA

Msaada: Nataka kusafirisha bidhaa kwenda USA

Kiduila

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2017
Posts
210
Reaction score
279
Habari wadau,

Nimepata fursa ya kupeleka USA baadhi ya bidhaa ambazo ni Matembele, Mchunga, Mbegu za mronge na Shanga za kimasai. Hivyo naomba kujua procedures za kufuata ili niweze kusafirisha hizo bidhaa.

Kwa kuanzia nataka nipeleke 30kg kwa kila bidhaa na shanga 100pcs.

Natanguliza shukrani
 
Una Biashara iliyo Sajiliwa? hizo shanga ni simple hata kwa DHL unatuma tu zinafika.

Mziki ni kwenye hizo mboga lazima kuwe na appruvol lazima ziwe Certfied kule huwezi ingiza chakula kirahisi.

Kuna procedure za kufuata
 
Back
Top Bottom