wapenzi wana jamii forum naomba mnishauri nataka kusoma fani za afisa afya(environmental health officer)na afisa tiba(clinical officer) kote nimepata nafasi je mwenye uzoefu ipi fani bora na nzuri zaidi kati ya fani hizi mbili. nishaurini wapendwa.

Thats depend on what you want to do with either of the courses! Kama hujui unachotaka kukifanya baada ya kusoma, usiende kusoma chochote kati ya hivo, tafuta unachotaka kukifanya kwenye maisha yako. Hata tukikupa ushauri wa kitu cha kusoma ni kutokana na mitizamo yetu, wala hakuna guarantee kuwa Clinical officer ndio bora kuliko hiyo nyingine. Your future Map matters a lot than ushauri wetu! Ushauri wangu jipime uwezo wako uko wapi? Au ukisoma nini ndio utakuwa Happy? Otherwise utaishia kuwa na cheti ambacho hukifurahii hata kama umemaliza na kufaulu. Tupo wengi tuliosoma kozi kwa ushauri wa ndugu mwisho wa siku hatufurahii tulichokisoma, tunaishia kuzunguka na bahasha kutafuta kazi tusizozipata. Ukishaamua tuwasiliane basi!

mkuu ruksa kukuPM?...nina tatzo binafs and nahs unaweza kunisaidia...