Msaada;Nataka kusomea Uafisa afya(health officer) na afisa tib(clinica officer)ipi bora zaidi?

hayaland

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2012
Posts
712
Reaction score
399
wapenzi wana jamii forum naomba mnishauri nataka kusoma fani za afisa afya(environmental health officer)na afisa tiba(clinical officer) kote nimepata nafasi je mwenye uzoefu ipi fani bora na nzuri zaidi kati ya fani hizi mbili. nishaurini wapendwa.
 
TIBA kijana na usisahahu kwenda Mzumbe kupiga master ya Healthy management!
 
clinical officer ukimaliza unaweza kusoma medicine .Ni course nzuri sana lakini ni chuo gani hicho ambacho umepata nafasi wakati huu wakati hata form kwa private na government bado...? au umepata nje ya nchi hii
 
wapenzi wana jamii forum naomba mnishauri nataka kusoma fani za afisa afya(environmental health officer)na afisa tiba(clinical officer) kote nimepata nafasi je mwenye uzoefu ipi fani bora na nzuri zaidi kati ya fani hizi mbili. nishaurini wapendwa.

Angalia long term plan zako then chukua itayokufikisha huko!!!!!
 
wapenzi wana jamii forum naomba mnishauri nataka kusoma fani za afisa afya(environmental health officer)na afisa tiba(clinical officer) kote nimepata nafasi je mwenye uzoefu ipi fani bora na nzuri zaidi kati ya fani hizi mbili. nishaurini wapendwa.

Thats depend on what you want to do with either of the courses! Kama hujui unachotaka kukifanya baada ya kusoma, usiende kusoma chochote kati ya hivo, tafuta unachotaka kukifanya kwenye maisha yako. Hata tukikupa ushauri wa kitu cha kusoma ni kutokana na mitizamo yetu, wala hakuna guarantee kuwa Clinical officer ndio bora kuliko hiyo nyingine. Your future Map matters a lot than ushauri wetu! Ushauri wangu jipime uwezo wako uko wapi? Au ukisoma nini ndio utakuwa Happy? Otherwise utaishia kuwa na cheti ambacho hukifurahii hata kama umemaliza na kufaulu. Tupo wengi tuliosoma kozi kwa ushauri wa ndugu mwisho wa siku hatufurahii tulichokisoma, tunaishia kuzunguka na bahasha kutafuta kazi tusizozipata. Ukishaamua tuwasiliane basi!
 
jamaa umesema kweli mpaka raha
 
mkuu ruksa kukuPM?...nina tatzo binafs and nahs unaweza kunisaidia...
 
wapenzi wana jamii forum naomba mnishauri nataka kusoma fani za afisa afya(environmental health officer)na afisa tiba(clinical officer) kote nimepata nafasi je mwenye uzoefu ipi fani bora na nzuri zaidi kati ya fani hizi mbili. nishaurini wapendwa.

Umepata chuo gani? PCB ulipata ngapi
 
Sasa mkuu OLESAIDIMU Kwanza kabsa samahn kwa usumbufu mm mm pia nafikiria sana hzo koz if possible mkuu hzo chance umzpataje ni direct bas na mm hata kwa kunipa hata kamdokezo kidgo nn nifanye tafadhali!
 
muhimbili environmental allied health scince for 3 yrs.
 
Back
Top Bottom