Unanishauri ninunue Hisa zipi mkuuSikushauri sana kununua hisa hisa za CRDB zinaongezeka kidogo kidogo sana mimi nilinunua nikauza kwa hasara
Sent using Jamii Forums mobile app
Nunua zile ambazo zina mwelekeo mzuri.Soma financial reports za kampuni hiyo.Angalia performance na profits zake miaka 2 au 5 ya nyuma.Angalia vitu/mambo wanayotarajia kufanya miaka ya baadaye.Chagua kampuni ambayo haina ushindani mkubwa.Do your homework...nina hakika utaona kampuni ipi itafaa kununua hisa.