Msaada Nataka kuuza na Hisa za Crdb

Msaada Nataka kuuza na Hisa za Crdb

Efendi

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2016
Posts
314
Reaction score
438
Wanajukwaa kama kichwa kinavyojieleza nataka kununua Hisa za Crdb na kuziuza ili nipate faida kidogo kidogo kutokana na kautafiti kangu nilichokafanya kwa mfano juzi niliangalia Hisa moja ilikuwa inauzwa kwa sh 170 lakini leo nimecheki inauzwa sh 200 maanake faida sh 30 kama kwa mtu aliyenunua hisa za sh 10,000,000/ kwa bei ya sh 170 ukaja ukaziuza kwa bei ya sh 200 je huwezi kupata faida? sasa basi naomba wadau wenye uelewa waje wanifafanulie coz nataka kununua Hisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unanishauri ninunue Hisa zipi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nunua zile ambazo zina mwelekeo mzuri.Soma financial reports za kampuni hiyo.Angalia performance na profits zake miaka 2 au 5 ya nyuma.Angalia vitu/mambo wanayotarajia kufanya miaka ya baadaye.Chagua kampuni ambayo haina ushindani mkubwa.Do your homework...nina hakika utaona kampuni ipi itafaa kununua hisa.
 
Back
Top Bottom