Msaada: Nataka kuweka meno ya bandia ya kudumu, inawezekana?

Msaada: Nataka kuweka meno ya bandia ya kudumu, inawezekana?

Naomba kuuliza, kama mtu hana jino hata moja anaweza kuweka hayo ya kudumu "fixed" kwa wakati mmoja?
Je aina hii ya meno ni imara kiasi kwamba mtu anaweza kutafuna eg nyama ngumu?
Ni imara sana mkuu, mimi babu yangu alinunua miaka mingi kabla sijazaliwa mpaka majuzi alipofariki, alikuwa anayatoa asubuhi anasafisha na mswaki kisha anarudisha mdomoni.
 
Back
Top Bottom