Mungu Mweusi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 1,474
- 1,080
Jamaa uko vizuri kwenye kuchanganua wazo.Ni wazo zuri ..zingatia usafi sehemu yako ya biashara, kingine nionavyo kwa hali ya sasa ukipata frem usitegemee kuuza juice peke yake ,weka chai ya rangi na chai ya maziwa,maziwa fresh na hivyo vitafunio ulivyoshauriwa,kwa maana hiyo unaanza asubuhi mapema wa kubeba take away wanaoenda maofcn,natumai utaweka na viti na meza kwa wateja wako wa hapo hapo,na kwa nje unaweza kuweka kijana wa chips ...inalipa ikiwa utasimama mwenyewe na sio kutegemea wafanyakazi...kila la heri
OK, keep movingNi kweli ushindani upo kwa mtazamo wangu bado hawa winn kushinda costumer wote
I miss youinvest what you are willing to lose![emoji4][emoji4][emoji4]
Am missing you too Jane![emoji4][emoji4][emoji4]I miss you
Thanx dearAm missing you too Jane![emoji4][emoji4][emoji4]
Juice inalipa Kama ukipata sehem yenye mkusanyiko wa watu Kama kariakoo afu upate pia mtu wa kukutengezea bites Kama sambusa,keki,bagia nk.
[/QUOTE/ uliongea kuhusu pesa