Msaada: Nataka kuzalisha juice (Natural juice), naomba mawazo yenu

Msaada: Nataka kuzalisha juice (Natural juice), naomba mawazo yenu

Ni wazo zuri ..zingatia usafi sehemu yako ya biashara, kingine nionavyo kwa hali ya sasa ukipata frem usitegemee kuuza juice peke yake ,weka chai ya rangi na chai ya maziwa,maziwa fresh na hivyo vitafunio ulivyoshauriwa,kwa maana hiyo unaanza asubuhi mapema wa kubeba take away wanaoenda maofcn,natumai utaweka na viti na meza kwa wateja wako wa hapo hapo,na kwa nje unaweza kuweka kijana wa chips ...inalipa ikiwa utasimama mwenyewe na sio kutegemea wafanyakazi...kila la heri
Jamaa uko vizuri kwenye kuchanganua wazo.
 
Natural juice au Fresh juice..
Hawa ni miongoni mwa watu sasa wanataka kufanya kuikina JF.
Wakuu watakuja tena NAOMBA USHAURI WA KUPIKA KISAMVU..
Watakuja tena WAZAZI WENZANGU NAOMBA USHAURI JINSI YA KUFUNGA NEPI MTOTO..
HIVI MA GREAT THINKERS MPO WAPI??
KAENI MJARIBU KUCHAMBUA MCHELE,CHENGA NA PUMBA
 
Free money broh uliongea kweli
Juice inalipa Kama ukipata sehem yenye mkusanyiko wa watu Kama kariakoo afu upate pia mtu wa kukutengezea bites Kama sambusa,keki,bagia nk.
[/QUOTE/ uliongea kuhusu pesa
 
Back
Top Bottom