Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,228
- 2,064
Habari zenu wakuu.
Husika na kichwa tajwa hapo juu, nina Plan za kuanza kuzalisha juice za matunda. Naomba msaada wenu wa mawazo katika nyanja zifuatazo;
Husika na kichwa tajwa hapo juu, nina Plan za kuanza kuzalisha juice za matunda. Naomba msaada wenu wa mawazo katika nyanja zifuatazo;
- Eneo zuri la biashara yaani ofisi itakuwa Dar.
- Capital/Mtaji
- Mahitaji mengine ya muhimu. Naomba mawazo yenu wadau.