Hammer11
JF-Expert Member
- Feb 18, 2024
- 1,518
- 2,174
Habari za hapa wana jamii,
Mimi ni Mtanzania ila kwa sasa niko 🇰🇪 Kenya ila mmmh life ya Kenya kiukweli ni ngumu mno. Sasa nilikuwa naomba wazoefu wa haka kanchi kanaitwa Botswana 🇧🇼
Nataka nikajaribu na hukoo anaejua hii nchi vizuri natakaiwa niandae nini na nn ili niishi vizuri hapo Bostwana na utaratibu upoje kwa mtanzania kuishi hapo.
Asanteni sana