Msaada nataka kwenda kujaribu maisha Botswana πŸ‡§πŸ‡Ό

Msaada nataka kwenda kujaribu maisha Botswana πŸ‡§πŸ‡Ό

Habari za hapa wana jamii,

Mimi ni Mtanzania ila kwa sasa niko πŸ‡°πŸ‡ͺ Kenya ila mmmh life ya Kenya kiukweli ni ngumu mno. Sasa nilikuwa naomba wazoefu wa haka kanchi kanaitwa Botswana πŸ‡§πŸ‡Ό

Nataka nikajaribu na hukoo anaejua hii nchi vizuri natakaiwa niandae nini na nn ili niishi vizuri hapo Bostwana na utaratibu upoje kwa mtanzania kuishi hapo.

Asanteni sana
Kila la kheri ndugu,ila afya ni muhimu, Botswana inashika nafasi ya 3 duniani kwa UKIMWI....
 
Nenda SA kama Una ufundi wowote (magari, umeme, carpentry) huko Ni pesa tupu
 
Back
Top Bottom