Msaada nataka kwenda kujaribu maisha Botswana πŸ‡§πŸ‡Ό

Hammer11

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2024
Posts
1,518
Reaction score
2,174
Habari za hapa wana jamii,

Mimi ni Mtanzania ila kwa sasa niko πŸ‡°πŸ‡ͺ Kenya ila mmmh life ya Kenya kiukweli ni ngumu mno. Sasa nilikuwa naomba wazoefu wa haka kanchi kanaitwa Botswana πŸ‡§πŸ‡Ό

Nataka nikajaribu na hukoo anaejua hii nchi vizuri natakaiwa niandae nini na nn ili niishi vizuri hapo Bostwana na utaratibu upoje kwa mtanzania kuishi hapo.

Asanteni sana
 
Funguka una professional yoyote au umemaliza shule mpaka level gani, nikupa ushauri mzuri mdogo wangu.
 
Rudi bongo
 
Huu uzi ntaukujia, Pia nataka kurelocate someday! Specifically Namibia, Sychelles, Mauritius, Cape verde, lesotho, Botswana na Equatorial Guinea
 
Botswana wanaruhusu 🌈 jaribu bahati yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…