Msaada: Nataka nianzishe biashara ya simu na spea zake

PlayBoyMwema

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2014
Posts
1,714
Reaction score
1,829
Habari wakuu naombeni msaada wenu kwa wale wazoefu wa hii biashara ya vifaa (spea) za simu naomba mnisadie kunitajia aina gani ya vifaa au spea za simu ambazo ni lazima niwe nazo kwenye hilo duka nitakaloanzisha na pia kama mnalifahamu duka la jumla linalouza hivo vifaa ambalo lipo kariakoo ambalo linauza hivo vifaa kwa bei nafuu ila viwe original...Natanguliza shukrani!!!
 
Ni pm mkuu mimi pia ni mfanyabiashara nitajaribu kukusaidi kadri ya uwezo nilionao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…