PlayBoyMwema
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 1,714
- 1,829
Habari wakuu naombeni msaada wenu kwa wale wazoefu wa hii biashara ya vifaa (spea) za simu naomba mnisadie kunitajia aina gani ya vifaa au spea za simu ambazo ni lazima niwe nazo kwenye hilo duka nitakaloanzisha na pia kama mnalifahamu duka la jumla linalouza hivo vifaa ambalo lipo kariakoo ambalo linauza hivo vifaa kwa bei nafuu ila viwe original...Natanguliza shukrani!!!